Simba, Mtibwa Sugar zatua pamoja - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba, Mtibwa Sugar zatua pamoja

Simba ilikuwa Eswatini kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Mbabane Swallows ambayo wameing'oa katika mashindano hayo hatua ya awali kwa jumla ya mabao 8-1, na sasa imepita raundi ya kwanza na itacheza na Nkana Rangers ya Zambia.


Source: MwanaspotiRead More