SIMBA NA YANGA KUCHUANA VIKALI KATIKA LIGI KUU YA SOKA LA WANAWAKE YA SERENGETI LITE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA NA YANGA KUCHUANA VIKALI KATIKA LIGI KUU YA SOKA LA WANAWAKE YA SERENGETI LITE


Mwenyekiti wa Kamati ya Mpira wa Wanawake, Amina Karuma akiongea na waandishi wa habari  (hawapo pichani ) wakati wa kutangaza mchuano wa  ligi kuu ya soka la wanawake ya SERENGETI LITE kati ya  Klabu za Simba  Queens na Yanga Princess ambazo   zinatarajia kukutana kwenye mchezo utakaochezwa Jumapili, Januari 13,2019.Kushoto  kwake ni Afisa masoko wa kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Bw. George Mango na kulia kwake ni  Kocha wa Yanga Princess Hamis Kinonda .
 

Afisa masoko wa kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza mchuano wa  ligi kuu ya soka la wanawake ya SERENGETI LITE kati ya  Klabu za Simba  Queens na Yanga Princess ambazo   zinatarajia kukutana kwenye mchezo utakaochezwa Jumapili, Januari 13,2019.Kulia kwake Mwenyekiti wa Kamati ya Mpira wa Wanawake, Amina Karuma na kushoto kwake ni  Kocha wa Simba Queens  Omari Mbweze.

Nahodha wa Simba Queens Mwanahamis Omar akiongea na waandishi wa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More