Simba ni Zaidi ya Ay na Diamond :-Hajis Manara - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba ni Zaidi ya Ay na Diamond :-Hajis Manara

Msemaji mkuu wa timu ya Simba fc  hajis manara amefunguka na kusema kuwa kwa sasa tiu kubwa na pendwa ya simu imekuwa na mashabiki wengi kuliko hata vile watu wanavyofikiria nafasi za wasanii tanzaia.


Hajis Manara anasema kuwa timu hiyo ina mashabiki wengi sana hasa wanaoipenda kwa damu kabisa kiasi kwamba hata ukilinganisha na idadi ya mashabiki wa baadhi ya wasanii hawawezi kufikia hapo.


Akitolea mfano wa wasanii wakubwa na wanaopendwa sana na mashabiki, hajis mananra anasema kuwa mashabiki wa simba ni wengi na wamekuwa wakijaza ukumbi kulika hata mashabiki wa manii YA  na DIAMOND PLATINUMZ, kitu ambacho kinathibitisha ubora wake.


The post Simba ni Zaidi ya Ay na Diamond :-Hajis Manara appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More