SIMBA SC KAMBINI UFARANSA KABLA YA KWENDA KUWANG’OA WAALGERIA KOMBE LA CAF 1993 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA SC KAMBINI UFARANSA KABLA YA KWENDA KUWANG’OA WAALGERIA KOMBE LA CAF 1993

Kikosi cha Simba SC tayari kwa mazoezi wakati wa kambi yake mjini Nice, Ufaransa mwaka 1993 kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993 dhidi ya wenyeji, USM El Harrach nchini Algeria. Simba SC ilikwenda kufungwa 2-0 na kufuzu Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya kushinda 3-0 awali Dar es Salaam. 


Source: Bin ZuberyRead More