SIMBA SC MDHAMINI MPYA ATAWAJENGEA UWANJA WA BUNJU - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA SC MDHAMINI MPYA ATAWAJENGEA UWANJA WA BUNJU

PAMOJA na kutambulisha jezi zake mpya za msimu ujao, klabu ya Simba imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya A1 Products kupitia kinywaji cha Mo Energy Drink wenye thamani ya Sh. Milioni 250.
Kaimu Rais Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amesema fedha hizo zitaenda katika mradi wa ujezi wa Uwanja mpya wa klabu huko Bunju.


Source: Bin ZuberyRead More