SIMBA SC NA ASANTE KOTOKO KATIKA PICHA JANA TAIFA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA SC NA ASANTE KOTOKO KATIKA PICHA JANA TAIFA

Kiungo Mzambia wa Simba SC, Cletus Chama (kushoto) akiondoka na mpira kuelekea lango la Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1
Mshambuliaji Mganda wa Simba SC, Emmanuel Okwi (katikati) akipiga shuti mbele ya beki wa Asante Kotoko, Wahab Adams
Beki wa Asante Kotoko, akimdhibiti mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere 
Beki Mghana wa Simba, Adsante Kwasi akimtoka mchezaji wa Asante Kotoko, Michael Yeboah
Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude akipasua katikati ya wachezaji wa Asante Kotoko
Mshambuliaji Mghana anayetumika kama beki wa kulia kwa sasa, Nicholas Gyan (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Asante Kotoko
Mshambuliaji Adam Salamba akiwatoka wachezaji wa Asante Kotoko
Beki wa Simba SC, Shomari Kapombe akimtoka beki wa Asante Kotoko
Kikosi cha Asante Kotoko katika mchezo wa jana
Kikosi cha Simba SC katika mchezo wa jana... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More