SIMBA SC NA JS SAOURA KATIKA PICHA LEO UWANJA WA TAIFA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA SC NA JS SAOURA KATIKA PICHA LEO UWANJA WA TAIFA

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akipasua katikati ya wachezaji wa JS Saoura katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0. 
Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi (kulia) akimtoka beki wa JS Saoura, Imadeddine Boubekeur  
Kiungo Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama akimtoka beki wa JS Saoura, Ibrahim Bekakchi 
Beki Mghana wa Simba SC, Nicholas Gyan akipiga shuti mbele ya wachezaji wa JS Saoura   
Beki Muivory Coast wa Simba SC, Serge Wawa Pascal akiondoka na mpira mbele ya kiungo wa JS Saoura, Ziri Hammar 
Nahodha wa Simba SC, John Bocco akimtoka beki wa JS Saoura  
Kiungo wa Simba SC, Hassan Dilunga 'HD' akimdhibiti beki wa JS Saoura, Nacereddine Khoualed 
Mgeni rasmi, Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson akiwa na mfanyabiashara na mwanahisa mkuu wa Simba SC, Mohamed Dewji leo Uwanja wa Taida 
Kikosi cha JS Saoura kabla ya mchezo na Simba SC leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam 
Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo na... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More