SIMBA SC NA NAMUNGO FC WASHINDWA KUTAMBIANA MBELE YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA SC NA NAMUNGO FC WASHINDWA KUTAMBIANA MBELE YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi huo.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa wa Majaliwa na kushuhudia mechi ya krafiki kati ya Simba SC na Namungo FC iliyofanyika katika uwanja huo leo 11,8.2018 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikakuga wachezaji wa Simba SC.
Mazoezi kidogo.
Mashabiki waliofika uwanjani.
Wageni wakifuatilia mechi. Mechi ikiendelea kati ya Timu ya Simba SC na Namungo FC wametoka bila kufungana.Timu ya Simba SC na Namungo FC wametoka bila kufungana.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->
Source: KajunasonRead More