SIMBA SC YALETA BEKI WA KATI MBRAZIL KUTOKA INDIA NA MSHAMBULIAJI WA KAIZER CHIEFS - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA SC YALETA BEKI WA KATI MBRAZIL KUTOKA INDIA NA MSHAMBULIAJI WA KAIZER CHIEFS

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Simba SC iko mbioni kuwasajili wachezaji wawili wa kigeni, beki wa kati Mbrazil, Gerson Fraga Vieira maarufu tu kama Gerson na mshambuliaji Ryan Moon kutoka Afrika Kusini.
Gerson anatokea klabu ya ATK ya India na Moon anatokea Kaizer Chiefs ya kwao, Afrika Kusini na wote wanakuja kujaribu kusajiliwa Simba SC baada ya kumaliza mikataba na klabu zao na kuruhusiwa.
Gerson Fraga Vieira mwenye umri wa miaka 26, mzaliwa wa Porto Alegre nchini Brazil, kisoka aliibukia timu ya vijana ya Gremio mwaka 2000 ambayo aliichezea hadi mwaka 2012 alipopandishwa timu ya wakubwa na akadumu hadi 2016.
Beki wa kati Mbrazil, Gerson Fraga Vieira anakuja SImba SC kutoka  ATK ya India  
Mshambuliaji Ryan Moon anakuja Simba SC kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

Lakini sababu mbalimbali, akiwa Gremio alitiolewa kwa mkopo timu mbalimbali zikiwemo Oeste (2012), Red Bull Brasil (2014), Atenas (2014–2015), Red Bull Brasil (2015–2016) kabla ya kuuzwa moja kwa moja Mumba... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More