SIMBA SC YAMPELEKA KAPOMBE AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU BAADA YA KUUMIA MAZOEZINI AKIWA NA TAIFA STARS - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA SC YAMPELEKA KAPOMBE AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU BAADA YA KUUMIA MAZOEZINI AKIWA NA TAIFA STARS

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Simba imempeleka beki wake, Shomari Salum Kapombe mjini Cape Town nchini Afrika Kusini kwa ajili ya vipimo vya maumivu ya kifundi cha mguu.
Hiyo ni baada ya beki huyo wa kulia anayeweza kucheza kama kiungo pia kuumia enka Jumatano iliyopita katika mazoezi ya timu yake ya taifa, Tanzania hivyo kukosekana jana Taifa Stars ikichapwa 1-0 na wenyeji, Lesotho katik mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon.
Kapombe, beki wa zamani wa Azam FC aliyewahi kuchezea AS Cannes ya Ufaransa, aliumia baada ya kuukanyaga mpira vibaya, mguu ukacheza wakati Taifa Stars ikijiandaa na mchezo wa jana katika kambi yake ya siku 10 mjini Bloemfontein, Afrika Kusini.

Shomari Kapombe (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, Swedi Nkwabi mchana asubuhi mjini Cape Town

Jitihada za madakatri wa Taifa Stars, Richard Yomba na Gilbert Kigadya kumponya Kapombe hazikufanikiwa na baada ya mchezo wa jana, leo Mwenyekiti wa ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More