Simba vs AS Vita : Simba inapenya hapa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba vs AS Vita : Simba inapenya hapa

SIMBA imebakisha nafasi moja tu ya kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika na kama ikichemsha kwenye mchezo huo wa mwisho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa dhidi ya AS Vita, safari yao itakuwa imeishia hapo.


Source: MwanaspotiRead More