Simba wanne, Yanga watatu tuzo Mchezaji bora - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba wanne, Yanga watatu tuzo Mchezaji bora

Nyota wanne wa Simba na watatu wa Yanga ni miongoni mwa wachezaji 15 waliopita katika mchujo wa kwanza wa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka Tanzania Bara katika sherehe zinatarajia kufanyika Juni 23, kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.


Source: MwanaspotiRead More