Simba wapiga tizi la kufa mtu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba wapiga tizi la kufa mtu

Simba wiki iliyopita walifanya mazoezi ya nguvu ndani ya Gym viwanja vya Gymkhana na walicheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya vijana ya Azam ambao waliwafunga bao 1-0 lililofungwa na Said Ndemla.


Source: MwanaspotiRead More