Simba wasoma albadiri - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba wasoma albadiri

WAKATI taharuki ikiwa bado imetawala nchi nzima kutokana na kutoweka kwa bilionea na mwanachama mashuhuri wa Simba, Mohammed ‘MO’ Dewji aliyetekwa na watu wasiojulikana alfajiri ya juzi Alhamis, Wazee na wanachama wa klabu hiyo wameangusha dua nzito klabu kwao jana Ijumaa kwa nia ya kumuomba Mungu amsaidia bilionea huyo.


Source: MwanaspotiRead More