SIMBA WATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA WATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM

 Taasisi ya Mo Dewji kwa kushirikiana na klabu ya Simba wametoa msaada wa viti vya walemavu, vyakula, vinywaji na sabuni kwa kituo cha kutunza watoto yatima wenye ulemavu cha Watoto Kwanza kilichopo Kawe jijini Dar es Salaam. Wachezaji wa  Simba wakitoa msaada wa viti vya walemavu, vyakula, vinywaji na sabuni kwa kituo cha kutunza watoto yatima wenye ulemavu cha Watoto Kwanza kilichopo Kawe jijini Dar es Salaam. Wachezaji wa  Simba wakitoa msaada wa viti vya walemavu, vyakula, vinywaji na sabuni kwa kituo cha kutunza watoto yatima wenye ulemavu cha Watoto Kwanza kilichopo Kawe jijini Dar es Salaam.Picha zote na Rabi Hume... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More