Simba yafufua matumaini Klabu Bingwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba yafufua matumaini Klabu Bingwa

BAO la Meddy Kagere katika dakika ya 64 ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika katika ya Simba dhidi ya Al Ahly kutoka Misri lilitosha kufufua matumaini ya kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea) Simba ambayo ilionekana kupoteza matumaini hapo awali baada ya kupoteza katika michezo miwili ya ugenini dhidi ...


Source: MwanahalisiRead More