Simba yaipiga Mtibwa Sugar na kutwaa Ngao ya Jamii - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba yaipiga Mtibwa Sugar na kutwaa Ngao ya Jamii

Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba imefanikiwa kuchomoza na ushindi wa jumla ya mabao 2 – 1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo wa Ngao ya jamii uliyopigwa CCM Kirumba Mwanza.Simba imepata mabao yake kupitia kwa Meddie Kagere aliyefunga dakika ya 29 na Hassan Dilunga 45+3 wakati bao pekee la Mtibwa Sugar likifungwa na Kelvin Kongwe 33.


Kukamilika kwa mchezo huo ni ishara sasa ya kufunguliwa rasmi kwa michuano ya ligi kuu soka Tanzania Bara inayorajiwa kuanza kutimua vumbi Agosti 22.


The post Simba yaipiga Mtibwa Sugar na kutwaa Ngao ya Jamii appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More