Simba yajipigia tu waarabu taifa - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba yajipigia tu waarabu taifa

Simba imeibuka na pointi tatu kwa mara nyingine dhidi ya waarabu uwanja wa taifa kwenye michuano ya Caf Champions League hatua ya makundi.Waarabu wa kwanza kuchezea kichapo cha Simba walikuwa JS Saoura kutoka Algeria ambao walichapwa 3-0 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi.Simba sasa imefikisha pointi sita (6) kwenye Kundi C ikiwa nyuma kwa pointi moja dhidi ya Al Ahly ambayo inaongoza kundi hilo kabla ya mchezo wa Saoura vs AS Vita.Simba imejiweka sehemu nzuri ya kufuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika baada ya ushindi wa leo.KUNDI C


Kila timu imepoteza walau mchezo mmoja


Simba 3-0 Saoura

AS Vita 5-0 Simba

Al Ahly 5-0 Simba

Simba 1-0 Al AhlyAl Ahly 2-0 AS Vita

Saoura 1-1 Al Ahly

Al Ahly 5-0 Simba

Simba 1-0 Al AhlyAl Ahly 2-0 AS Vita

AS Vita 5-0 Simba

AS Vita 2-2 SaouraSimba 3-0 JS Saoura

JS Saoura 1-1 Al Ahly

AS Vita 2-2 SaouraTimu zote za Kundi C zimepata matokeo zikiwa kwenye viwanja vya nyumbani, hakuna timu iliyoshinda ikiwa ugenini.... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More