Simba yaleta straika mpya - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba yaleta straika mpya

Wakati asubuhi hii, Yanga watakuwa Bwalo la Polisi, Oysterbay ili kutimiza hamu yao ya kumwona bilionea wao Yusuf Manji anarudi kundini, watani wao Simba wanaendelea kufanya yao wakijiandaa kumleta straika Mcameroon, Christian Joel Ntouba Epoupa.


Source: MwanaspotiRead More