Simba, Yanga na Singida United kukutana Kenya - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba, Yanga na Singida United kukutana Kenya

Klabu za Simba, Yanga na Singida United huwenda zikakutana kwa mara nyingine tena mwaka huu kupitia michuano ya SportPesa Super Cup ambayo inafanyika kwa mara ya pili sasa huku safari hii ikitarajiwa kutimua vumbi nchini Kenya kwenye dimba la Kimataifa la Moi lililopo Kasarani kuanzia Juni 3 – 10 mwaka 2018.Timu zitakazoshiriki katika michuano hiyo kutoka Tanzania ni timu zinazodhaminiwa na SportPesa ambazo ni Simba, Yanga, Singida United pamoja na JKU (Jeshi la Kujenga Uchumi kutoka Zanzibar), wakati kutoka Nairobi timu zitakazoshiriki ni Gor Mahia, AFC Leopards na Kariobangi Sharks na Kakamega Homeboys.Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za SportPesa zilizopo Masaki, Dar es Salaam ambapo pia walikuwepo wawakilishi na viongozi kutoka TFF pamoja na viongozi wa timu za Simba, Yanga na Singida United Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti Bwana Tarimba Abbas alisema “michuano hii kuleta chachu na kumpata bingwa kwa upande wa Africa Mashariki”


“Matayarisho ya mwaka huu... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More