Simba, Yanga wakwaa kisiki kwa beki Mnyarwanda - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba, Yanga wakwaa kisiki kwa beki Mnyarwanda

Beki huyo anayeichezea timu ya Rayon Sport ya Rwanda kwa sasa anatarajia kujiunga na timu ya Anderlecht FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Ubelgiji hapo Januari mwakani.


Source: MwanaspotiRead More