Simba yawaita mashabiki Taifa kuikabili Nyasa Big Bullet - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba yawaita mashabiki Taifa kuikabili Nyasa Big Bullet

KLABU ya Simba imetaja viingilio vitakavyotumika katika mchezo wao wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Nyasa Big Bullet unaotarajiwa kuchezwa Ijumaa, ambapo kiingilio cha chini ni Sh 3,000 na cha juu Sh 1,0000.


Source: MwanaspotiRead More