Simu mbili za Samsung kupata Android 9 Pie Januari 2019 - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simu mbili za Samsung kupata Android 9 Pie Januari 2019

Kampuni nguli ya utengenezaji wa simu duniani, Samsung imetangaza kwa watumiaji wa simu za matoleo ya Galaxy Note 9 na Galaxy S9 kwamba watapata masasisho ya Android 9 Pie kuanzia mwezi Januari mwaka 2019. Taarifa hiyo imetolewa rasmi kwenye mkutano wa mwaka wa wakuzaji wa bidhaa za Samsung 2018 (SDC 2018) uliofanyika huko San Francisco, [...]


The post Simu mbili za Samsung kupata Android 9 Pie Januari 2019 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More