Simu ya Oppo F11 Pro toleo la pili! #Uchambuzi - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simu ya Oppo F11 Pro toleo la pili! #Uchambuzi

Imepita miezi miwili sasa tangu toleo la kwanza la simu janja kutoka Oppo kutoka lakini karibu miezi miwili baadae kampuni huika imeona inafaa kutoa simu janja nyingine ama kwa lugha rahisi Oppo F11 Pro toleo la pili. Nianze kwa kuuliza ni ukubwa gani wa diski uhifadhi unapenda simu janja utakayonunua iwe nayo? Wakati unafikiria jibu [...]


The post Simu ya Oppo F11 Pro toleo la pili! #Uchambuzi appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More