Simu yamliza Waziri Kigwangalla usiku wa manane hospitalini Muhimbili - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simu yamliza Waziri Kigwangalla usiku wa manane hospitalini Muhimbili

Kwa mara ya kwanza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa posti ya kwanza mitandaoni tangu anusurike kwenye ajali mbaya ya gari wiki iliyopita.


Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa usiku wa kuamkia leo kitu Cha kwanza alichongaa ni kushika simu yake ya mkononi. Jambo ambalo limemfanya aumie sana baada ya kukutana na picha za aliyekuwa Mwandishi wa Wizara yake, Hamza Temba ambaye alifariki kwenye ajali hiyo iliyotokea wiki iliyopita.Sijui hata Kwa nini usiku huu nimegusa simu? 😭😭😭 Only to look at my phone and come across chats and pics za ziara yetu ya #PoriKwaPori and rise to the reality that mdogo wangu, bwashee wangu, this hard working, smart, handsome and very hopeful young man sintomuona tena na kumtania. What more can I say?! Alhamdulillah. Qaalu inna lillah wainna ilayhir rajiuun. 🙏🏿 #AllahAkbar


A post shared by Dr. Hamisi Kigwangalla (@hamisi_kigwangalla) on Aug 6, 2018 at 3:17pm PDT

Mwandishi wa Habari Hamza... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More