Simu za Huawei kukosa apps za Facebook, WhatsApp na Instagram - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simu za Huawei kukosa apps za Facebook, WhatsApp na Instagram

Kikwazo cha serikali ya Marekani dhidi ya Huawei kinaonekana kuzidi kuisumbua kampuni hiyo. Simu mpya za Huawei kukosa apps za Facebook, WhatsApp na Instagram kutokana na Facebook kuitikia wito wa serikali yao. Makampuni ya utengenezaji simu kama vile Huawei huwa yanapata malipo kadhaa kwa kila simu inayouzwa ikiwa na app kutoka makampuni kama vile ya [...]


The post Simu za Huawei kukosa apps za Facebook, WhatsApp na Instagram appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More