“Sina Mpango wa Kwenda SA Kwenye Birthday Ya Tiffah” Povu la Wema Kwa Zari - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Sina Mpango wa Kwenda SA Kwenye Birthday Ya Tiffah” Povu la Wema Kwa Zari

Muigizaji wa Bongo movie mwanadada Wema Sepetu amemwaga povu zito na kudai hataenda Kwenye Birthday party ya Tiffah nchini South Africa.


Wema amefunguka na kusema kuwa hawezi kwenda Afrika Kusini kwenye party ya mtoto huyo kama walivyoalikwa Diamond Platnumz.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wema ameandika:God Bless The Next Big Thing… Like Father Like Daughter. On August 6th, A Star was Born… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼. Msije mkadhani kwenye Party naenda. Wala siendi. I jus wished the lil angel Dats it…!!! 😌😌😌 #SinagaHianaMie . Maana hamkawii”.Povu hilo limekuja siku chache baada ya Zari kumwambia Live kabisa Wema na kundi lake la Bongo movie kuwa hawataki nyumbani kwake maaana watamchafulia Nyumba.


Diamond na Zari wanategemea kumfanyia Tiffah bonge la sherehe huko nchini South Africa.


The post “Sina Mpango wa Kwenda SA Kwenye Birthday Ya Tiffah” Povu la Wema Kwa Zari appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More