Sinema ya Dante, Yanga imekaa vibaya kweli - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sinema ya Dante, Yanga imekaa vibaya kweli

Nadhani Dante yamemkuta kwa vile labda hana anayemsimamia na kumpa ushauri mzuri katika kudai haki zake Yanga, aidha nao Yanga itakuwa inakosea kama inampuuza Dante aliyeipigania timu katika kipindi kigumu.


Source: MwanaspotiRead More