Siri Tisa (09) Za Kuishi Miaka Mingi Kutoka Kwa Watu Walioishi Miaka Zaidi Ya Mia Moja (100). - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Siri Tisa (09) Za Kuishi Miaka Mingi Kutoka Kwa Watu Walioishi Miaka Zaidi Ya Mia Moja (100).

Rafiki yangu mpendwa, Ipo kauli kwamba kila mtu anapenda kwenda peponi lakini hakuna anayetaka kufa. Kwa kifupi maisha ni mazuri, yawe magumu au rahisi, watu tunapenda kuishi zaidi na zaidi. Na kitu kinachotusukuma kutunza afya zetu, kufanya mazoezi na kupata matibabu pale tunapougua ni kwa sababu tunataka kuishi zaidi. Tunataka kutoka kwenye utoto, kuwa watu... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More