Sitasahau Siku Niliozawadia Gari na Naseeb Abdul:-Queen Darlen - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sitasahau Siku Niliozawadia Gari na Naseeb Abdul:-Queen Darlen

Mwanadada pekee kutoka kundi la WCB ameongea na refresh ya WASAFI baada ya kusema kuwa kati ya siku ambazo hatakaa kuzisahau ni siku yake ya kuzaliwa  miaka ya nyuma alipozawadiwa gari na kaka yake naseeb abdul.


Queen anasema kuwa hiyo kwake ikiuwa ni siku ya furaha lakini pia haitakaa kusahau kwa sababu haikuwa imejulikana kama angepewa gari siku hiyo na kaka yak huyo.


kwangu sitasahau siku niliyozawadiwa gari na Naseeb Abdul maarufu kama diamond platinumz,hiyo kwangu mpaka leo huwa nakumbuka.


Queen Darlen na Diamond Platinumz ukianchana na mahusiano yao kama kaka na dada lakini pia wanafanya kazi pamoja kama mtu na bosi  wake kutokana na Queen Darlen kusajiriwa na lebel hiyo.


 


The post Sitasahau Siku Niliozawadia Gari na Naseeb Abdul:-Queen Darlen appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More