Sitoi Penzi Langu kwa Mwanaume Asiye wa Nchi Yangu;- Wolper - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sitoi Penzi Langu kwa Mwanaume Asiye wa Nchi Yangu;- Wolper

Mwanadada msanii na mjasiriamali Jackline Wolper amefunguka na kusema kuwa wala hata siku moja hajafikiria kutoka kimapezni na watu watu wa nje ya nchi yake pamoja na kwamba amekuwa akifanya kazi nyingi zinazompelekea kutoka nje ya nchi lakini hiyo haiwezi kuwa sababu.


Wolper anasema kuwa yeye anaamini kuwa mpezni bora atampata huku huku Tanzania na wala sio nchi nyingie ngawa kipindi yupo nchini Kenya kuna watu walianza kumsema kuwa alikuwa akitembea na raia wa nchi hiyo lakini hayo sio kweli.


sifikirii kabisa kutoa pezni langu kwa mwanaume ambae sio raia wa nchi yangu kwa sasa kwa sababu huko nyuma nilishapitia huko  lakini kwa sasa wala sihitaji, kama nimeamua kupendana basi atakuwa mwanaume kutoka nchini kwangu-Alijibu wolper ambae hapo mwanza aliwahi kutoka na mwanaume Mkongo.


The post Sitoi Penzi Langu kwa Mwanaume Asiye wa Nchi Yangu;- Wolper appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More