Siyo Asasi zote zinafanya vibaya - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Siyo Asasi zote zinafanya vibaya

MKURUGENZI wa asasi isiyokuwa ya kiraia ya Women Wake Up (WOWAP), Fatuma Tawfiq, amesema kuwa siyo kweli kuwa asasi za kiraia hazifanyi kazi yake kwa jinsi isivyotakiwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Tawfiq ambaye ni Mbunge wa Viti maalumu ametoa kauli hiyo jana wakati alipokuwa akifungua mkutano ulioandaliwa na asasi isiyokuwa ya kiraia ya ...


Source: MwanahalisiRead More