Skendo za kuhamia CCM, Kubenea afura, ashambulia Mwananchi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Skendo za kuhamia CCM, Kubenea afura, ashambulia Mwananchi

Taarifa kwa umma NIMEONA picha yangu kwenye gazeti la leo Jumanne la MWANANCHI likinihusisha mimi na kutaka kuhama chama changu na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Napenda kueleza masikitiko yangu kuona gazeti lililokuwa linaheshimika katika jamii, linajiingiza katika kuandika habari ambazo chanzo chake ni mitandao ya kijamii ya WhatsApp na Jamii Forum na zinazosambazwa ...


Source: MwanahalisiRead More