Sochi 2019: Mkutano wa kwanza unaidhinisha kurudi kwa ushawishi wa Urusi Afrika - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sochi 2019: Mkutano wa kwanza unaidhinisha kurudi kwa ushawishi wa Urusi Afrika

Moscow itajaribu kuimarisha zaidi uhusiano na Afrika wakati wa mkutano wa kwanza baina ya Urusi na Afrika unaofanyika mjini Sochi kuanzia leo tarehe 23 hadi kesho Oktoba 24.


Source: BBC SwahiliRead More