SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI NA DAGAA KASENDA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI NA DAGAA KASENDA

Wakazi wa kata ya Mganza wilayani Chato mkoani Geita wameipongeza Serikali kwa kujenga soko la kimataifa la samaki, dagaa la kasenda  limesaidia kuzalisha Ajira mpya kwa baadhi ya wakazi mkoa huo.
Wakizungumza na na Michuzi Blog  wamesema  wamesema  kabla ya kujengwa kwa soko hilo hawakuwa na uhakika kupata  kipato kwa siku tofauti na sasa ambapo wameanza kunufaika.
Kupata vibarua vya kupakia na kuchambua dagaa.
Kwa upande wake Diwani wa kata ya mganza Bw.Emanuel Mwita amesema  kupitia soko hilo wananchi ambao hawakuwa na kazi maalum sasa wamepata kazi  sokoni hapo ambazo zinawaingizia kipato cha kuendesha maisha ya familia zao. Baadhi ya wananchi  wakiwa bize kuwachambua Dagaa wasiofaa na wanaofaa kwa matumizi mbalimbali.Baadhi ya wananchi  wakiwa bize kuwachambua Dagaa wasiofaa na wanaofaa kwa matumizi mbalimbali. Sehemu ya Magunia ya Dagaa yakiwa yamepangwa vyema ndani ya soko hilo tayari kwa kusafirishwa sehemu mbalimbali kwa matumizi ya binadamu na mifugo.

 Baadhi ya wanan... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More