SOKO LA MADINI LAFUNGULIWA RASMI ARUSHA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SOKO LA MADINI LAFUNGULIWA RASMI ARUSHA

Na.Vero Ignatus ,Arusha.
Waziri wa Madini Dotto Mashaka Biteko amezindua soko la madini mkoani Arusha ambalo litawarahisishia wafanyabiashara na kuruhusu mzunguko wa fedha jambo ambalo serikali imeamua kusimamia rasilimali za nchi 
Akizungumza katika ufunguzi  wa soko hilo Biteko amesema hakuna serikali inayoweza kujiendesha bila kulipa kodi ambapo maendeleo ya nchi yanaletwa kwa kulipa kodi pesa hizo zipatikana kwenye madini na watu wa kufanya hivyo ni watanzania wenyewe.
 Mhe. Biteko amesema jambo hilo ni la kwanza kutokea  kihistoria tangia kupata uhuru kuwa na soko la madini katika mkoa wa Arusha,kwani Tanzania ni nchi ambayo imejaliwa kuwa na madini ambapo mengine hayawezi kupatikana  nchi nyingine zaidi isipokuwa nchi ya Tanzania.
Amewataka wafanyabiashara wa madini kupambana kuondoa rushwa kwenye sekta ya madini na kuwasihi kutokutumia muda mwingi kuwashawishi kuchukua zawadi kwani kwa kufanya hivyo hakusaidii kuondoa rushwa kwenye sekta ya madini,ametoa tahadhari kwa watu wot... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More