Solskjaer kumpa unahodha Pogba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Solskjaer kumpa unahodha Pogba

MANCHESTER United wanatapatapa. Wanapambana. Ni katika kuhakikisha wanambakisha kiungo wao mahiri, Paul Pogba ambaye anatakiwa kwa nguvu zote na Real Madrid. Na sasa wapo tayari kumpa kitambaa cha unahodha ili abakie Old Trafford.


Source: MwanaspotiRead More