Songas yachangia milioni 47 kuboresha miundombinu ya elimu shule ya msingi Ubungo kisiwani - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Songas yachangia milioni 47 kuboresha miundombinu ya elimu shule ya msingi Ubungo kisiwani

Mkurugenzi mtendaji wa Songas, Nigel Whittaker akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya milioni 47 Mwenyekiti wa mtaa wa Kibangu, Bw Desidery Ishengoma katika shule ya msingi Ubungo Kisiwani mapema leo, Kampuni hiyo ya uzalishaji wa gesi nchini Tanzania imetoa msada huo kama mchango wao katika kuisaidia serikali kuboresha miundombinu ya elimu nchini. PIC 3&2: Mkurugenzi mtendaji wa Songas, Nigel Whittaker akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya TZS milioni 47 kwa wanafunzi wa Ubungo Kisiwani mapema leo, Kampuni hiyo ya uzalishaji wa gesi nchini Tanzania imetoa msada huo kama mchango wao katika kuisaidia serikali kuboresha miundombinu ya elimu nchini.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More