SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI) - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI)


 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi  ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI) Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings wakati Mkurugenzi huyo pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi hiyo  walipomtembelea Ofisini kwake leo Jijini Dodoma.  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi wa Taasisi  ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI), katikati ni Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings na wa mwisho ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo Ndg. Sandiy Quimbaya. Wageni hao walimtembelea Mhe. Spika leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi  ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI) Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings wakati Mkurugenzi huyo pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi hiyo  walipomtembelea Ofisini kwake leo Jijini Dodoma.  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na  viongoz... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More