Spika Job Ndugai apiga marufuku kuingia na kucha,kope bandia Bungeni Tanzania - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Spika Job Ndugai apiga marufuku kuingia na kucha,kope bandia Bungeni Tanzania

Akiongea na BBC Spika Ndugai amesema marufuku hiyo haitaishia kwa wabunge tu bali pia raia ambao watakaokuwa wanatembelea Bunge hilo ambalo lipo jijini Dodoma.


Source: BBC SwahiliRead More