SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU NCHINI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akisisitiza umuhimu wa watanzania kuvumiliana kwenye masuala ya dini, alipopata nafasi ya kukabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Kondoa, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akielezea umuhimu wa vijana kuzingatia elimu ya dini na elimu dunia ili waweze kujenga uzalendo na maadili mema yatakayolisaidia taifa kupiga hatua kimaendeleo, wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani.

Mmoja wa vijana walioshiriki mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, akipokea zawadi ya fedha taslimu kutoka meza kuu baada ya kuonesha umahili mk... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More