SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI DODOMA. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI DODOMA.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga (wa pili kushoto) alipomtembelea leo tarehe 22 Machi, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kulia ni Msaidizi wa Gavana, Dkt. Nguling’wa Balele, Meneja Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania, Ndg. Zaria Mbeo na Kaimu Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Dodoma, Ndg. Harry Mwansembo V25A2813Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga (wa pili kushoto) alipomtembelea leo tarehe 22 Machi, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kulia ni Msaidizi wa Gavana, Dkt. Nguling’wa Balele, Meneja Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania, Ndg. Zaria Mbeo na Kaimu Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Dodoma, Ndg. Harry Mwansembo V25A2867Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens L... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More