SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.  Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli alipomtembelea mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja  na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli mara baada ya kuzungumza naye mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia )katika picha ya pamoja  na Balozi wa Palestina nchini Hamdi AbuAli (wa pili kushoto) mara baada ya kuzungumza naye mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Kushoto ni Mhe. Amina Makilagi na Kulia ni Mhe. Lolesia Bukwimba.
PICHA NA BUNGE... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More