SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATENDAJI WAKUU KUTOKA BOT, MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA NA UMOJA WA WACHIMBAJI MADINI TANZANIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATENDAJI WAKUU KUTOKA BOT, MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA NA UMOJA WA WACHIMBAJI MADINI TANZANIA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia AcksonSpika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Watendaji Wakuu kutoka Benki kuu ya Tanzania (BOT) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma wakiongozwa na Gavana wa Benki hiyo, Prof. Florens Luoga (kushoto kwa Spika). Kulia kwa Spika ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga (kulia) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (watatu kushoto chini) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) walioongozwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga (watatu kulia) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kushoto chini ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Mhe. Stephen Masele (kulia) ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mbunge wa Shinyanga Mjini, Mhe. Stephen Masele (kulia) ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Watendaji Wakuu kutoka Umoja wa Wachimba Madini Tanzania walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wakiongozwa na Katibu Mtendaji wa Umoja huo, Ndg. Gerald Mturi (kushoto kwa Spika) Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu kutoka Umoja wa Wachimba Madini Tanzania walioongozwa na Katibu Mtendaji wa Umoja huo, Ndg. Gerald Mturi (wa pili kulia) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE)


Source: Issa MichuziRead More