Spika Ndugai alia na Zitto - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Spika Ndugai alia na Zitto

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ni mwanasiasa anayemsumbua Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na spika mwenyewe leo tarehe 17 Januari 2019 wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam na kwamba, sasa anatafuta ushauri wa jinsi ya kumshughulikia kiongozi huyo wa Chama cha ACT-Wazalendo. Spika Ndugai ...


Source: MwanahalisiRead More