Spika Ndugai amjibu CAG kauli ya Bunge dhaifu ‘ametudharau sana, tutamleta hata kwa pingu’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Spika Ndugai amjibu CAG kauli ya Bunge dhaifu ‘ametudharau sana, tutamleta hata kwa pingu’

Hatimaye Spika wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika na kuhojiwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge hilo tarehe 21 Januari, 2019 .

Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo mchana Januari 7, 2019 alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake akisema Profesa Assad amelidhalilisha Bunge.


The post Spika Ndugai amjibu CAG kauli ya Bunge dhaifu ‘ametudharau sana, tutamleta hata kwa pingu’ appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More