SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOFANYIKA LEO TAREHE 5 NOVEMBA 2018 KATIKA OFISI YA BUNGE JIJINI DODOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOFANYIKA LEO TAREHE 5 NOVEMBA 2018 KATIKA OFISI YA BUNGE JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai aongoza kikao cha kamati ya Uongozi kilicholenga kujadili na kupokea Shughuli za Mkutano wa kumi na Tatu wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano, Pia Kupokea hati ya dharura ya Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa Mwaka 2018 (The Microfinance Bill, 2018); kilichofanyika leo tarehe 5 Novemba 2018 katika ukumbi wa Spika Jijini Dodoma. Ikiwa ni Maandalizi ya kuanza kwa Vikao vya Bunge vinavyotegemea kuanzia kesho Novemba 6, 2018 Jijini Dodoma.Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo wakati wa kikao cha kamati ya Uongozi kilicholenga kujadili na kupokea Shughuli za Mkutano wa kumi na Tatu wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano, Pia Kupokea hati ya dharura ya Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa Mwaka 2018 (The Microfinance Bill, 2018); kilichofanyika leo tarehe 5 Novemba 2018 katika ukumbi wa Spika Jijini Dodoma.Wajumbe wa Kamati ya uongozi kuanzia kushoto ni Mbunge wa Bukoba Vijijini, Mhe. Jason Rw... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More