SPIKA NDUGAI AOSHA MAGARI KUHAMASISHA UCHANGIAJI WA FEDHA ZA UJENZI WA VYOO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPIKA NDUGAI AOSHA MAGARI KUHAMASISHA UCHANGIAJI WA FEDHA ZA UJENZI WA VYOO

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiosha magari tofauti tofauti wakati wa shughui ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia fedha za kujengea Vyoo vya mfano kwa ajili ya watoto wa Kike na wenye mahitaji maalum. Shughuli hiyo imefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. PICHA NA BUNGE... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More