Spika Ndugai awaombea likizo mawaziri, JPM amgomea - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Spika Ndugai awaombea likizo mawaziri, JPM amgomea

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaombea likizo mawaziri na manaibu waziri kwa Rais John Magufuli. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Spika Ndugai ametoa maombi hayo kwa Rais Magufuli wakati akitoa salamu katika hafla ya uapisho wa viongozi wa serikali iliyofanyika leo tarehe 9 Januari 2019 Ikulu Jijini Dar es ...


Source: MwanahalisiRead More