SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) wakionesha kwa Waheshimiwa Wabunge (hawapo pichani) CD za Filamu ya ‘Bahasha’ mara baada ya kuizindua. Filamu hiyo imeandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya vitendo vya Rushwa. Wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapt. Mst. George Mkuchika, wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jasson Rweikiza na Wakwanza kulia ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brig. Jen. John Mbungo. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akikata utepe kuzinduzi Filamu ya ‘Bahasha’ iliyoandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya vitendo vya Rushwa. Wakwanza kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapt. Mst. George Mkuchika, Mw... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More